Diabetic Retinopathy ni nini??

Ni ugonjwa unaotokana na athari za kisukari kwenye macho, ambapo kiwango kikubwa cha sukari katika damu inasababisha kuharibika kwa sehemu ya nyuma ya jicho au retina

Diabetic Retinopathy Dalili

Dalili kubwa ni mgonjwa wa kisukari kutokuona vizuri. Mgonjwa huwa na uono hafifu wenye madoa doa

Tiba Diabetic Retinopathy

Matibabu ya diabetic retinopathy yanahusisha sindano, tiba ya mionzi pamoja na upasuaji.

View Our Location - Google Map